This is a condensed, translated version of the 2020 Census website in Swahili.

Hili ni toleo la kufupishwa, lililotafsiriwa la 2020census.gov. Bonyeza hapakurudi kwenye tovuti kamili kwa Kiingereza na Kihispania.

Skip Header

Sensa ya mwaka 2020| Shirika la Sensa ya Marekani

Component ID: #ti1732139216

Shape your future.

START HERE.

#9B2743
SHIRIKI:

Jinsi ya Kujibu Sensa ya Mwaka 2020

Mwongozo wako wa Sensa ya mwaka 2020

Soma maagizo juu ya jinsi ya kukamilisha karatasi ya orodha ya maswali.

Download PDF
pdf   Kiswahili   [1.6 MB]

Mtu mmoja kutoka kila nyumba anapaswa kukamilisha sensa hiyo mtandaoni, kwa simu au kwa barua. Hesabu kila mtu ambaye anaishi katika anwani - pamoja na watoto wachanga waliyetoka kuzaliwa, watoto wachanga, na marafiki wowote au familia ambao wanaishi na kulala hapo mara kwa mara.

Ikiwa mtu asiye na mahali pa kuishi ya kudumu atakuwa anaishi hapa tarehe Aprili 1, 2020, mhesabu mtu huyo.

Jaza Sensa mtandaoni

Orodha ya maswali la mtandaoni linapatikana sasa. Ikiwa unahitaji msaada, tumia miongozo hapa chini.

Je, Unahitaji Msaada?

Kwa usaidizi wa Sensa ya mwaka 2020, au kujibu kupitia simu, piga simu 844-330-2020. Simu zinajibiwa kwa Kiingereza, Kihispania, Kichina, Kivietinamu, Kikorea, Kirusi, Kiarabu, Kitagalogi, Kipolishi, Kifaransa, Kikriole cha Haiti, Kireno, na Kijapani.

#008556

Sensa ni nini?

Sensa ya mwaka 2020 inahesabu kila mtu mzima, mtoto mchanga, na mtoto anayeishi Marekani. Hesabu hii inafanywa kila miaka kumi na Shirika la Sensa ya Marekani, shirika la serikali.

An overhead look at a suburban community.
#007E8F

Kwa Nini Ni Muhimu

Sensa hutoa habari muhimu ambayo inaweza kuunda mambo anuwai katika maisha yako. Watunga sheria, wamiliki wa biashara, waalimu, na wengine wengi hutumia habari hii kila siku kutoa huduma, bidhaa, na msaada katika jumuia.

Component ID: #ti1559994006

Kila mwaka, mabilioni ya dola katika fedha za shirikisho hutumika kwa hospitali, idara za moto, shule, barabara, na rasilimali zingine kwa msingi wa habari za sensa.

Component ID: #ti1607990292

Matokeo ya sensa yanaamua idadi ya viti kila jimbo linalo katika Bunge, na hutumiwa kuchora mipaka ya wilaya za kupiga kura.

Component ID: #ti1607182127

Sensa hiyo pia inahitajika kwa Katiba ya Marekani: Kifungu cha 1, sehemu ya 2, kuamrisha kwamba Marekani ifanye hesabu ya idadi ya watu mara moja kila baada ya miaka 10. Hesabu ya kwanza ilifanywa mwaka 1790.

#205493

Faragha na Usalama

Majibu unayotoa hutumiwa tu kuzalisha takwimu.

Woman smiling and using her phone while holding her baby.

Shirika la Sensa inahitajika kisheria kulinda majibu yako na kuyaweka kwa siri. Kwa kweli, kila mfanyakazi huapa kulinda habari yako ya kibinafsi kwa maisha.

Chini ya Kichawa cha Makala 13 cha Msimbo wa Marekani, Shirika la Sensa haiwezi kutoa habari yoyote inayotambulika juu yako, nyumba yako, au biashara yako, hata kwa shirika za kutekeleza sheria. Sheria inahakikisha kwamba habari yako ya kibinafsi inalindwa na kwamba majibu yako hayawezi kutumiwa dhidi yako na shirika lolote la serikali au korti.

#008556

Wahoji wa Sensa Katika Ujirani Yako

Kwa ya mwaka ujao, unaweza kuona wahoji wa sensa katika ujirani yako.

Close-up of a census taker's hand holding a mobile phone.
Component ID: #ti584515572

Hii ni jukumu la kawaida ya sensa ya mwaka 2020. Unaweza kuona wafanyakazi wa sensa katika eneo lako kwa sababu tofauti tofauti:

  • Wanaangalia anwani katika kujitayarisha kuandaa sensa.
  • Wanatembelea nyumbani kwa sensa au uchunguzi mwingine wa Shirika la Sensa.
  • Wanaacha habari ya sensa.
  • Wanafuatilia kazi inayohusiana na sensa.

Mnamo Mei 2020, wahoji wa sensa wataanza kutembelea nyumba ambazo hazijajibu Sensa ya mwaka 2020 kuhakikisha kwamba kila mtu amehesabiwa.

#9B2743